Yule Ronaldo ndiyo wa kumlinganisha na Messi?

Yule Ronaldo ndiyo wa kumlinganisha na Messi?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Utofauti mkubwa wa wachezaji hawa huwa upo wazi lakini watu wanaletaga ushabiki mbele badala ya uhalisia.

Siku zote mtu mpime nini anafanya uwanjani...halafu linganisha na huyo mwingine nini anafanya.

Jana tumeshuhudia game ya Juve, UEFA
Leo tutashuhudia game ya Barcelona
Hebu oneni tofauti kubwa kati ya watu hawa wawili kiuwezo katika creativity, speed & accuracy - achilia mbali scoring.
 
Ronaldo ni jemedari la vita vya soka... Kapigana ureno akaenda man united akaenda madrid na sasa juve!!

Mesi kacheza klabu gani na gani? Maana ubora wa mwanajeshi unapimwa kwa vita alivyopigana.
Kuhama vilabu ni kigezo dhaifu, point ni uwezo. Huko kote alikocheza CR 7, Messi kutamshinda nini ikiwa CR 7 kaweza?
 
ibanezafrica

Ronaldo ni jemedari la vita vya soka. Kapigana Ureno akaenda Man United akaenda Madrid na sasa Juve.

Mesi kacheza klabu gani na gani? Maana ubora wa mwanajeshi unapimwa kwa vita alivyopigana.
Ifike wakat tuwe wakweli bana.Tofauti na scoring,ni kipi ronaldo anaweza mfikia messi kwa sasa? Tukianz na dribbling,passing ,assisting ,playmaking eeh ,ni kipi asa?.Hii point ya ronaldo kucheza timu nying ni dhaifu sana.Tuaangalie nini mtu anafanya on Field ,na sio mambo ya kuhama timu..
 
Ifike muda mkubaliane kutokukubaliana.
 
Yan messi akiwa na miaka 34 sjui ka atafanya vtu anvofny ronaldo kw sasa.uyo messi wenu anfield alfanya nn?ronaldo atletico alwafanya nn?acheni ushbk maandz,juz katmiza goli700..yan untk ronaldo acheze vle vle kama alvyokua ana miaka 18??pathetic
 
umevuta bangi za wapi?? Messi ana miaka mingapi unajua?? tuanzie hapo.. kwamba Ronaldo kampita Messi miaka mingapi??
 
ibanezafrica

Ronaldo ni jemedari la vita vya soka. Kapigana Ureno akaenda Man United akaenda Madrid na sasa Juve.

Mesi kacheza klabu gani na gani? Maana ubora wa mwanajeshi unapimwa kwa vita alivyopigana.
Ona hapa Messi anavyopiga miti mume wa Man U

Mimi mwenyewe Messi simpendi kama wewe tu, tunapishana kuwa mimi napenda ukweli
 
Utofauti mkubwa wa wachezaji hawa huwa upo wazi lakini watu wanaletaga ushabiki mbele badala ya uhalisia.

Siku zote mtu mpime nini anafanya uwanjani...halafu linganisha na huyo mwingine nini anafanya.

Jana tumeshuhudia game ya Juve, UEFA
Leo tutashuhudia game ya Barcelona
Hebu oneni tofauti kubwa kati ya watu hawa wawili kiuwezo katika creativity, speed & accuracy - achilia mbali scoring.
Hujui soccer wewe. mwenye magoli mengi kati ya Huyo Mess na Ronaldo ktk UEFA CHAMPION LEAGUE? Hebu weka idadi ya magoli yao UJIONEE MWENYEWE. Tatizo lako umeanza kufatilia UEFA This year
 
mtaongea yote ila ronaldo de Lima ndio the best hata mourinho alipoulizwa btn messi and cr7 , yeye akasema ronaldo de lima ndio the best kwake, shida jamaa majeruhi yalimuandama sana kisa mabeki walivokuwa wanamkamia, long live ronaldo
 
Back
Top Bottom