Hongera sana kijana wa Kombo.
Ndoto yako ilitimia kabisa. And off course ulikuwa harmless kwa nini wakushikilie? Huu ni ujinga wa jeshi letu na usalama wa nchi, tena wameumbuka kwa jinsi hawako makini, wao walikuwa wanakodolea ball macho tu.
Washitakiwe kwanza wale polisi na wana usalama wanaojidai makomandoo kwa kuwa walishindwa kazi mbele ya kadamnasi. Natamani nami ningemwona huyo kijana Nageri Kombo nimkumbatie kwa tendo la kishujaa hilo. Tena huyo anafaa kuwa msalama kwani ni fast with techniques, tena anawaza kwa makini kabisa maana tena aliweza kuona kuwa ni heri ajiandae kabisa kukamatwa na walinzi.
Nyie polisi mnahangaika na issue ndogo kama hizi wakati huko Kimara, Mbezi, Chanika, Eneo karibu lote la Gongolaboto, n.k watanzania wasio na hatia wanauwawa na majambazi! Lo nimesahau kuwa deal nyingi za ujambazi nyie ni ring leaders!