Yule Wakili Ajuaye ni wakili wa Serikalini au Kishoka?

Kkwenye kesi ya Lissu kuna Wakili anaitwa Ajuaye. Naye niliskia akihoji maswali ya dodoso. Nimeshangaa serikali kuleta wakili kama yule. Ina maana yale ndio majembe ya serikali au nu kishoka tu?
Anyways Nyuzi zingine ukicomment, ngoja nikae kimya
 
Kkwenye kesi ya Lissu kuna Wakili anaitwa Ajuaye. Naye niliskia akihoji maswali ya dodoso. Nimeshangaa serikali kuleta wakili kama yule. Ina maana yale ndio majembe ya serikali au nu kishoka tu?
Ndio mundu wa serikali acha jembe!
 
Nimeshangaa, Wakili ni kilaza kupindukia, huko Law school alipitaje? Au ndio mambo ya rushwa ya kyupi?
Lol 😂😂😂😂
 
Kkwenye kesi ya Lissu kuna Wakili anaitwa Ajuaye. Naye niliskia akihoji maswali ya dodoso. Nimeshangaa serikali kuleta wakili kama yule. Ina maana yale ndio majembe ya serikali au nu kishoka tu?
Wengine waliinfia huko kiujanja ujanga kwa hiyo lazima wakubali kuwa watumwa ili wasije kupoteza ajira zao.
 
Nimeshangaa, Wakili ni kilaza kupindukia, huko Law school alipitaje? Au ndio mambo ya rushwa ya kyupi?
Lol 😂😂😂😂
Kwani huyo Ajuaye ni ME au KE! Mbona umemhusisha na rushwa ya kyupi!!
 
Nimeshangaa, Wakili ni kilaza kupindukia, huko Law school alipitaje? Au ndio mambo ya rushwa ya kyupi?
Lol 😂😂😂😂
Na utashangaa ana mpenzi, kuna watu wanajua kujitwika mizigo
 
Back
Top Bottom