Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
HahahaKkwenye kesi ya Lissu kuna Wakili anaitwa Ajuaye. Naye niliskia akihoji maswali ya dodoso. Nimeshangaa serikali kuleta wakili kama yule. Ina maana yale ndio majembe ya serikali au nu kishoka tu?
Anyways Nyuzi zingine ukicomment, ngoja nikae kimyaKkwenye kesi ya Lissu kuna Wakili anaitwa Ajuaye. Naye niliskia akihoji maswali ya dodoso. Nimeshangaa serikali kuleta wakili kama yule. Ina maana yale ndio majembe ya serikali au nu kishoka tu?
Ndio mundu wa serikali acha jembe!Kkwenye kesi ya Lissu kuna Wakili anaitwa Ajuaye. Naye niliskia akihoji maswali ya dodoso. Nimeshangaa serikali kuleta wakili kama yule. Ina maana yale ndio majembe ya serikali au nu kishoka tu?
Wengine waliinfia huko kiujanja ujanga kwa hiyo lazima wakubali kuwa watumwa ili wasije kupoteza ajira zao.Kkwenye kesi ya Lissu kuna Wakili anaitwa Ajuaye. Naye niliskia akihoji maswali ya dodoso. Nimeshangaa serikali kuleta wakili kama yule. Ina maana yale ndio majembe ya serikali au nu kishoka tu?
Kwani huyo Ajuaye ni ME au KE! Mbona umemhusisha na rushwa ya kyupi!!Nimeshangaa, Wakili ni kilaza kupindukia, huko Law school alipitaje? Au ndio mambo ya rushwa ya kyupi?
Lol ππππ
Na utashangaa ana mpenzi, kuna watu wanajua kujitwika mizigoNimeshangaa, Wakili ni kilaza kupindukia, huko Law school alipitaje? Au ndio mambo ya rushwa ya kyupi?
Lol ππππ