Yunus Nassoro Ali, akamatwa kwa kujifanya mtumishi wa Usalama wa Taifa "TISS"

Yunus Nassoro Ali, akamatwa kwa kujifanya mtumishi wa Usalama wa Taifa "TISS"

The Thugs001

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2018
Posts
434
Reaction score
933
Yunus Nassoro Alli, 32yrs, Mshirazi wa Kilimahewa ambaye anatuhumiwa kujifanya mtumishi wa serikali "TISS".

Anadaiwa kukamatwa na kupatikana na vitu vifuatavyo;

1) Plate number nyekundu 112

2) Plate number za njano 27

3) Plate number nyekundu 12

4) Plate number za nje ya nchi 2

5) Plate number ya vespa 1 nyeupe

6) Dola 200 fake za kimarekani

7) Kadi za magari 2 ya ofisi ya raisi

8) Kitambulisho kimoja cha jeshi la wananchi -un

9) Leseni moja ya uderera ya uingereza

10) Leseni za udereva za zanzibar 82

11) Kitambulisho cha mwanafunzi wa michigan

12) State house visitor card (01)

13) Picha pasport size 5 za bakharesa

14) Kadi 4 za bank tembo na umoja na baclays

15) Fataki moja

16) Mhuri mmoja wa gsy solution co

17) Vitambulisho vya mzanzibar 4

18) Spark torture moja mbovu

19) Fimbo ya cheo ya jeshi la JKU 1

20) Vitambulisho 2 vya mpiga kura

21) Kisu cha kukatia vioo kimoja

22) Earphone inayotumiwa kwenye handset kwa mawasiliano ya tiss

23) Leseni 4 za udereva Tanzania bara

24) Magamba ya magari/kadi 607

25) Flash (03)

26) Pasport za kusafiria 2 za Tanzania

27) Picha za pasport size za watu tofauti 632

28) Barua toka kmkm SMZ

29) Barua toka Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania

30) Nakala na pasport na vitambulisho vya raia wa kigeni 09

31) Stemps za zrb 13

32) Vitabu vya risiti 09

33) Form za mikataba ya makabidhiano ya shamba na mauziano ya magari na kukopesha fedha

34) Barua kutoka zaeka 1

35) Hati za makosa za ZRB 09

36) Risiti za bodi ya mapato zanzibar 45

37) Barua kutoka kamishna wa bodi ya mapato revenue 37

38) Form za maombi za visa

39) Kadi ya gari ya ali moh'd shein rais mstaafu wa zanzibar

40) Form ya maombi ya visa

41) Form za maombi ya vibati vya namba na rfid stika 03

42) Form za maombi ya leaner 05


Aidha mtuhumiwa alikuwa na gari no. Z.584 LC na lilipopekuliwa vitu vifuatavyo vimepatikana kwenye gari hilo.
1) Ufunguo wa pingu -01

2) Form ya bodi ya mapato zanzibar 01

3) Barua za toka ofisi ya dci, finger print result kumhusu Jafar Mahbub Juma

4) Document za kupasisha magari mbali mbali

5) Certificate of registration gsy


IMG-20220313-WA0066.jpg

1647271396668.png

Picha: Baadhi ya vitambulisho anavyodaiwa kukutwa navyo
 
Back
Top Bottom