Yunus Nassoro Ali, akamatwa kwa kujifanya mtumishi wa Usalama wa Taifa "TISS"

Tumemaliza mwaka sasa kesi ilikuwepo?
 
Hayuko peke yake…itakuwa ni Taskforce haramu ya watu kadhaa!

Ingekuwa enzi za Mzalendo namba moja angechezea uhujumu uchumi jamaa na mali zote kina Paul wangechukua
Hahaha mzalendo namba moja. Kayika wahujumu wooote hajagungwa hata mmoja wote wapo uraiyani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…