Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Wahenga wa kabumbu la bongo, ulimkubali beki yupi kwa ubora enzi hizo kati ya Costantine Kimanda (Yanga) na George Magere Masatu (Pamba, Simba)?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimanda alikua ni beki aliyekamilika kuanzia skills mpaka physic yake. Japo Masatu alikua beki mahiri lakini in comparison between the two, George Masatu umbo lake dogo na ufupi vinamuangushaWahenga wa kabumbu la bongo, ulimkubali beki yupi kwa ubora enzi hizo kati ya Costantine Kimanda (Yanga) na George Magere Masatu (Pamba, Simba)?
Lakini mkuu Fabio Cannavaro licha umbo.lake dogo na ufupi akicheza kama beki wa kati ni mshindi wa kombe la dunia mwaka 2006 akiwa kama nahodha wa Italy na baadae mwaka huo alitwaa Ballon D'or.Kimanda alikua ni beki aliyekamilika kuanzia skills mpaka physic yake. Japo Masatu alikua beki mahiri lakini in comparison between the two, George Masatu umbo lake dogo na ufupi vinamuangusha
Ni kweli kabisa mkuu umbo la Cannavaro halikua kikwazo kwake kua miongoni mwa mabeki bora kabisa kuwahi kutokea ItalyLakini mkuu Fabio Cannavaro licha umbo.lake dogo na ufupi akicheza kama beki wa kati ni mshindi wa kombe la dunia mwaka 2006 akiwa kama nahodha wa Italy na baadae mwaka huo alitwaa Ballon D'or.
Yondani anamfunika MagereGeorge Masatu ndo alinifanya niipende simba. Kwake mpira ulikuwa haupiti na haupotei kizembe hata kidogo.
Hiyo pekee inamfanya awe mchezaji bora kabisa wa ukabaji(beki) kuwahi tokea pale simba na hata Tanzania kwa ujumla.
Kwa mtazamo wako.Yondani anamfunika Magere
Rekodi zinaonyesha hivyo...Yondani kacheza mechi nyingi zaidi Taifa stars na CAF champions league...ana medali nyingi zaidi za ligi kuu..Kwa mtazamo wako.
Good analysis Chamakh, lakini beki bora kabisa kwa Simba japo alicheza muda mfupi kwa mafanikio locally 1990, lakini akaharibiwa na pesa za Gulamali ni Deo Njohole. Alikuwa na uwezo mkubwa wa kuusoma mchezo, na kunyang'anya mpira kwa washambuliaji mguuni, kutoa Pasi za uhakika, hanyang'anyiki mpira mguuni. Japo umbile dogo ana uwezo kukaba aina yoyote ya forward, waulize Makumbi Juma na Sanifu Lazaro. Aliweza kumsoma vizuri golikipa wake Mackenzie Ramadhani, na kumfanya huyu Mrundi aonekane star, yaani hajapatikana Deo mwingine.Sio haki kumlinganisha George Masatu na Constantine Kimanda. Nitakupa sababu mbili. George Masatu amecheza muda mrefu sana Simba na Tanzania kuanzia 1992-1997 then ile ya 2000-2002. Kimanda amecheza msimu mmoja tuu Yanga wa mwaka 1994. Masatu ametwaa kila Kombe na Simba . Ubingwa wa Bara 94, 95 na 2001, Muungano, 1993 na 95 na Africa Mashariki na Kati 1992, 1995, 1996 na 2002 achilia mbali makombe kama Hedex na Tusker Challenge Cup na kufika fainali ya Kombe laCAF 1993. So amekuwapo nyakati zote za mafanikio ya Simba akiunganishwa na timu imara na golikipa imara Mohammed Mwameja nyakati hizo.
Kimanda yeye kacheza Yanga mwaka 1994 pekee msimu ambao Yanga hawakuwa na mafanikio na wakifungwa 4-1 na Simba huku goli pekee la Yanga likifungwa na Kimanda kwa njia ya faulo. So huwezi mlinganisha mchezaji mwenye mechi nyingina mafanikio mengi na mchezaji wa msimu mmoja tuu tena asiye na mafanikio katika huo msimu.
Ndio mana amesema huwezi shindanisha mchezaji wa muda mrefu mwenye mafanikio na yule wa muda mfupi asiye na mafanikio.Good analysis Chamakh, lakini beki bora kabisa kwa Simba japo alicheza muda mfupi kwa mafanikio locally 1990, lakini akaharibiwa na pesa za Gulamali ni Deo Njohole. Alikuwa na uwezo mkubwa wa kuusoma mchezo, na kunyang'anya mpira kwa washambuliaji mguuni, kutoa Pasi za uhakika, hanyang'anyiki mpira mguuni. Japo umbile dogo ana uwezo kukaba aina yoyote ya forward, waulize Makumbi Juma na Sanifu Lazaro. Aliweza kumsoma vizuri golikipa wake Mackenzie Ramadhani, na kumfanya huyu Mrundi aonekane star, yaani hajapatikana Deo mwingine.
Umeshaweka Yanga,Simba. Hakuna uhalisia utaoupataWahenga wa kabumbu la bongo, ulimkubali beki yupi kwa ubora enzi hizo kati ya Costantine Kimanda (Yanga) na George Magere Masatu (Pamba, Simba)?