Hivo vitu havina uhusiano kabisaa kakaaKama hawa wanaume wawili watakuwa na mawazo juu ya usalama wa mahusiano yao kila mmoja kwa nafasi yake.
1, ALIEOA MWANAMKE BIKILA
2,ALIEOA MWANAMKE AMBAE HANA BIKILA .
yupi atakuwa na Imani ya juu kwa mkewe at hawezi kumsaliti na hivyo basi impelekee kufanya kazi zake vizuri...
umemweleza kweli, ila ninachoona kwa huyu ndugu ndo anataka kuingia kwenye hii tasnia so anataka asikieHivo vitu havina uhusiano kabisaa kakaa
wakati mwingine ujue kutofautisha L na R
Asante sana dada yanguumemweleza kweli, ila ninachoona kwa huyu ndugu ndo anataka kuingia kwenye hii tasnia so anataka asikie
WHICH IS WHICH
afuate ushauri wako
pamoja mkuuAsante sana dada yangu
Kweli Ndg. Naelekea huko.umemweleza kweli, ila ninachoona kwa huyu ndugu ndo anataka kuingia kwenye hii tasnia so anataka asikie
WHICH IS WHICH
afuate ushauri wako
Ukikua utaelewa. Naona unakimbilia mambo ya kikubwa wkt bado dogo. Hivi vitu huja automatic usipende kuwaza sana bestKweli Ndg. Naelekea huko.
Nachofikiria Mimi ni amani ya moyo...
"Ivi ni kweli mke wangu atakuwa hanichiti huko nyumbani niliko mwacha?, na je Hawezi kwenda kwa Boy wake alomtoa ubikila? Si bora ningeoa bikila kwamba hata kama atanichit nikirudi ntahisi nilivyoiacha ndivyo ilivyo...
Bado unarudia yaleyale?ni BIKIRA sio BIKILA alah..Kweli Ndg. Naelekea huko.
Nachofikiria Mimi ni amani ya moyo...
"Ivi ni kweli mke wangu atakuwa hanichiti huko nyumbani niliko mwacha?, na je Hawezi kwenda kwa Boy wake alomtoa ubikila? Si bora ningeoa bikila kwamba hata kama atanichit nikirudi ntahisi nilivyoiacha ndivyo ilivyo...
Akirudia tena makosa. yafaa apatiwe adhabu. hawa ndio wale wanaojifanya wanajua sana lugha za wenzao (ENGLISH) kuliko zao (KISWAHILI).Bado unarudia yaleyale?ni BIKIRA sio BIKILA alah..
watu wa dar. awaju RL ni tofautiHivo vitu havina uhusiano kabisaa kakaa
wakati mwingine ujue kutofautisha L na R
wewe ujui RLKama hawa wanaume wawili watakuwa na mawazo juu ya usalama wa mahusiano yao kila mmoja kwa nafasi yake.
1, ALIEOA MWANAMKE BIKILA
2,ALIEOA MWANAMKE AMBAE HANA BIKILA .
yupi atakuwa na Imani ya juu kwa mkewe at hawezi kumsaliti na hivyo basi impelekee kufanya kazi zake vizuri...
Kweli akirudia tena - MDUFUEAkirudia tena makosa. yafaa apatiwe adhabu. hawa ndio wale wanaojifanya wanajua sana lugha za wenzao (ENGLISH) kuliko zao (KISWAHILI).