Yupi ana afadhali kati ya hawa wawili?

Yupi ana afadhali kati ya hawa wawili?

NNJ7

Senior Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
114
Reaction score
59
Kama hawa wanaume wawili watakuwa na mawazo juu ya usalama wa mahusiano yao kila mmoja kwa nafasi yake.

1, ALIEOA MWANAMKE BIKILA
2,ALIEOA MWANAMKE AMBAE HANA BIKILA .

yupi atakuwa na Imani ya juu kwa mkewe at hawezi kumsaliti na hivyo basi impelekee kufanya kazi zake vizuri...
 
Hivo vitu havina uhusiano kabisaa kakaa

wakati mwingine ujue kutofautisha L na R
 
umemweleza kweli, ila ninachoona kwa huyu ndugu ndo anataka kuingia kwenye hii tasnia so anataka asikie
WHICH IS WHICH
afuate ushauri wako
Asante sana dada yangu
 
Imani ya penzi ndo itakuponya na si vinginevyo!!!

Bikira sio Bikila sawa boss!!!!
 
umemweleza kweli, ila ninachoona kwa huyu ndugu ndo anataka kuingia kwenye hii tasnia so anataka asikie
WHICH IS WHICH
afuate ushauri wako
Kweli Ndg. Naelekea huko.
Nachofikiria Mimi ni amani ya moyo...

"Ivi ni kweli mke wangu atakuwa hanichiti huko nyumbani niliko mwacha?, na je Hawezi kwenda kwa Boy wake alomtoa ubikila? Si bora ningeoa bikila kwamba hata kama atanichit nikirudi ntahisi nilivyoiacha ndivyo ilivyo...
 
Ukikua utaelewa. Naona unakimbilia mambo ya kikubwa wkt bado dogo. Hivi vitu huja automatic usipende kuwaza sana best
 
Kweli Ndg. Naelekea huko.
Nachofikiria Mimi ni amani ya moyo...

"Ivi ni kweli mke wangu atakuwa hanichiti huko nyumbani niliko mwacha?, na je Hawezi kwenda kwa Boy wake alomtoa ubikila? Si bora ningeoa bikila kwamba hata kama atanichit nikirudi ntahisi nilivyoiacha ndivyo ilivyo...
Bado unarudia yaleyale?ni BIKIRA sio BIKILA alah..
 
Kama hawa wanaume wawili watakuwa na mawazo juu ya usalama wa mahusiano yao kila mmoja kwa nafasi yake.

1, ALIEOA MWANAMKE BIKILA
2,ALIEOA MWANAMKE AMBAE HANA BIKILA .

yupi atakuwa na Imani ya juu kwa mkewe at hawezi kumsaliti na hivyo basi impelekee kufanya kazi zake vizuri...
wewe ujui RL
 
Jau huna hoja kakojoe ukalale.ulipaswa umuulize babaako nadhani ndio mwenye jibu sahihi kwako.
 
Back
Top Bottom