kasulavenance
JF-Expert Member
- Jan 23, 2020
- 759
- 914
Metacha anastahili na hasa kwa kuzuia mechi ile ya goli moja bila Simba Yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mngekuwa na Data kuonyesha huyo babu Chama kafunga au ka assist goli ngapi na sio kuongea tu Kimbumbumbu
Ki statistics ni Meddie kagere maana Hadi Sasa kafunga goli 22 na Assist anazo 7 wakati chama Ana anaongoza kwa assist Hadi Sasa 10 ila magoli ya VPL anayo magoli 2 kwaio unaona uwiano mzuri una mbeba Meddie kagereLigi kuu ya Soka nchini inafikia ukingoni, mchzaji gani anapaswa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu kwa ligi kuu ya Vodacom?
Karibuni kwa maoni yenu...
wivu mbaya sanaMngekuwa na Data kuonyesha huyo babu Chama kafunga au ka assist goli ngapi na sio kuongea tu Kimbumbumbu
Cannavaro (2006) mchezaji bora wa dunia.....alifunga ngapi aka assist ngapi?Mngekuwa na Data kuonyesha huyo babu Chama kafunga au ka assist goli ngapi na sio kuongea tu Kimbumbumbu
mkuu umeongea kiutopolo zaidiMngekuwa na Data kuonyesha huyo babu Chama kafunga au ka assist goli ngapi na sio kuongea tu Kimbumbumbu
Wuwuwuuuuuuuuuuu...Mngekuwa na Data kuonyesha huyo babu Chama kafunga au ka assist goli ngapi na sio kuongea tu Kimbumbumbu