Yupi anayeharibu mahusiano ya kimapenzi kati ya mwanamme na mwanamke?

Mwanaume ndio huwa sababu,yeye ndio kiongozi akiyumba na kukosa misimamo Basi nyumba inaanguka

Msingi unatakiwa ujengwe mwanzoni mwanaume anapomtongoza mwanamke ,jinsi utakavyomuapproach ndivyo atakavyokupokea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…