Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
mwenye dudu ndo anamchezea mwenzake.
Kwahiyo kama nikikuta bint wenzangu,washapita nami nikapita kiduchu na zana salama,nikimwacha hatakiwi kunilalamikia?kwn nitakuwa cjaharibu chochote na hakuna haramaMwanaume utakapomnajisi au kumchezea mwenzako hautokuwa na alama,
zaidi sana utajiona wewe shujaa, na mwanaume rijali, una uwezo wa kwenda popote
ukapendwa, Mwanamke aliyetendewa atabaki na msongo wa mawazo, huenda hata
ujauzito umemwachia, matumizi hapati, amani haipo tena, atahisi kaonewa nani wa kumpenda
tena huyo mwanamke????? Mbaya zaidi utakapotangaza kuwa umemwacha na unaowatangazia
wana uhakika kuwa ulikuwa unatembea nae, hatotokea hata mmoja wa kupanga nae maisha na
kumuoa, labda wa kumchezea zaidi, lakini kwa upande wa mwanaume hata utangazwe vipi kwenye umati wa
watu, utakapomtaka bint wengi watakukubalia, hivyo basi mwanaume ataonekana ndiye aliyemnajisi bint na lawama atatupiwa yeye
mwanaume na atasomeka kuwa amemchezea bint wa sultan.
basi wanachezeana, wote wanayo hapo kwenye red...
Kwahiyo kama nikikuta bint wenzangu,washapita nami nikapita kiduchu na zana salama,nikimwacha hatakiwi kunilalamikia?kwn nitakuwa cjaharibu chochote na hakuna harama
apana.
ni mtu mmoja ndo ana dudu mwingne ana....
Kwani naye si atakuwa amenichezea?kama akikataa kuolewa na mm je wkt tushachakachuana?Hakuna cha zana salama wala nini, moja kwa moja nawe ushamchezea, kwa nini upitie kiduchu, usipitie jumla jumla na kuingiza ndani????
Mwingine ana kitumbua na sio dudu
mimi najiuliza hivi kati ya mwanaume na mwanamke nani ana dudumwenye dudu ndo anamchezea mwenzake.
mwenye dudu ndo anamchezea mwenzake.
Lol.Wote wanayo madudu.Belivdatmwenye dudu ndo anamchezea mwenzake.