Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
mabinti hupenda kuwatupia lawama njemba zao mara mambo yanapokwenda mrama husikika wakidai ya kuwa wapenzi wao ndiyo wamewapotezea muda wao bure, kuwachezea na kuwanajisi.......................huwa na vinyongo ambavyo havina ukomo.................swali langu la leo ni kuwa hivi ni nani hasa humchezea mwenzie au kumnajisi kati ya dume na jike?