Yupi jembe kati ya hawa wasanii?

kumbe anaetoa wimbo mmoja tuzo 6 ni JEMBE basi anaetoa nyimbo 10 tuzo 2 ni MPINI
 
He wamehamia huku, ule mdole wenu hautoki kwenye tundu lake mtahama nalo. Dadeki, mtanyooka mwaka huu.

Hiyo lugha uliyoitumia ni inappropriate kabisa, me binafsi imenichefua...u could use other words n still ujumbe wako ungefika vizuri tu
 
Nalzma hii ifahamike mtu yeyote atakae ingia kwa mshind wa tuzo ya mtvmama lazma narudia tena utanyooka tu.na hii k2 lazma ieleweke utakua kama rula
 
kumbe anaetoa wimbo mmoja tuzo 6 ni JEMBE basi anaetoa nyimbo 10 tuzo 2 ni MPINI

jembe ni bora kuliko mpini, mpini unaweza kuvunjika lakini jembe litadumu milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…