Yupi kati ya Mbappe na Vinicius Jr anapaswa kuuzwa?

Yupi kati ya Mbappe na Vinicius Jr anapaswa kuuzwa?

TheGreatest Of AllTime

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2025
Posts
207
Reaction score
679
Kama ungekuwa wewe ni Jose Mourinho, ni yupi kati ya Mbappe na Vinicius Jr ungemuuza?

HALA MADRID

1786015473747.png

Kylian Mbappe
1786015915875.png

Vinicius Junior
​
 
Mbape ni mpambanaji mwenye uchu wa mafanikio. Vinicius Jr yeye hana tofauti na Mbrazil mwenzake Neymar Jr! Fedha na ubishoo mbele, halafu kwenye kufanya kazi mpaka ajisikie.
 
Mbape ni mpambanaji mwenye uchu wa mafanikio. Vinicius Jr yeye hana tofauti na Mbrazil mwenzake Neymar Jr! Fedha na ubishoo mbele, halafu kwenye kufanya kazi mpaka ajisikie.
Mzee mwenzangu hapa umeteleza kidogo, Vini sio bishoo kihivyo kama Neymar, Vini mpira anaupiga aisee.
 
Mimi kama shabiki kindakindaki wa Barca, yeyote kati ya hao akisepa nitafurahi hasa Vini.
 
Wote wabaki, tunawahitaji sana. Wote ni wazee wa kazi wanaoijua vema kazi yao. Kuuza yeyote kati yao ni ujuha.

Bahati nzuri mwamba Mou naye kashasema hakuna anayeondoka.
 
Back
Top Bottom