TheGreatest Of AllTime
JF-Expert Member
- Mar 14, 2025
- 207
- 679
Mzee mwenzangu hapa umeteleza kidogo, Vini sio bishoo kihivyo kama Neymar, Vini mpira anaupiga aisee.Mbape ni mpambanaji mwenye uchu wa mafanikio. Vinicius Jr yeye hana tofauti na Mbrazil mwenzake Neymar Jr! Fedha na ubishoo mbele, halafu kwenye kufanya kazi mpaka ajisikie.
Mnaijua vyema shughuli yakeMimi kama shabiki kindakindaki wa Barca, yeyote kati ya hao akisepa nitafurahi hasa Vini.
Kaanza na Mreno mwenzie.Falsafa zake tu.
Asipogombana nao sijui.