Yupi mchezaji ghali Bongo?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
habari za asubuhi wana jamvi,

pongezi kwa timu zote zinazofanya usajili huku tukiona majina makubwa ya kitua nchini toka nchi jirani tena wakiwa na bado na mikataba na timu zao kama vile hawa Wacongo wa Yanga na Wazambia wa Simba.

swali ni yupi mchezaji aliye gharimu pesa kubwa?

juzi nilisikia Manara akisema konde boy ni dola laki 5

Je bongo tumefikia hatua ya kununua mchezaji kwa bilion kweli?
 
[emoji23][emoji23] USD 500K Mhindi atoe kabisa? hizo 22B bado ni danadana
 
Manara hajui ataiyo dola laki Tano ikoje, yaani yeye anaropoka tu. Hakuna mchezaji wa dola laki mbili anaye cheza Afrika Mashariki.
Vile vibabu pale msimbazi ni ghali kuliko wachezaji vijana.
Maimbazi akuna vibabu ni sura tu zimepinda.
 
Manara hajui ataiyo dola laki Tano ikoje, yaani yeye anaropoka tu. Hakuna mchezaji wa dola laki mbili anaye cheza Afrika Mashariki.
Vile vibabu pale msimbazi ni ghali kuliko wachezaji vijana.
Hivi kwa nini Utopolo mnapenda kuropoka hivyo, Luc hakukosea kwa kweli. Hakuna manara amesema wamenunua mchezaji kwa dollar laki Tano.

Maelezo ya Manara jana amesema waliletajiwa dollar laki tano kwa ajili ya kumuuza Luis, ila MO alikataa kumuuza.

Acheni kuropoka ropoka tu
 
Hao tulishaambiwa ni uneducated wachana nao
 
Manara hajui ataiyo dola laki Tano ikoje, yaani yeye anaropoka tu. Hakuna mchezaji wa dola laki mbili anaye cheza Afrika Mashariki.
Vile vibabu pale msimbazi ni ghali kuliko wachezaji vijana.
taja yako kama Manara karopoka
 
Kwa hyo we unaamini kale kamakonde kanafika bei hiyo? Na unaamini kabsaaaa muhindi yle akatae bilioni kwa mchezaji aliyemnunua chini ya milioni mia
 
Kale hakana thamani hiyo ndiyo maana kalitolewa kwa mkopo,mchezaji bora hawezi toka kwa mkopo, Mudi msanii
Kwa hyo we unaamini kale kamakonde kanafika bei hiyo? Na unaamini kabsaaaa muhindi yle akatae bilioni kwa mchezaji aliyemnunua chini ya milioni mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…