mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
habari za asubuhi wana jamvi,
pongezi kwa timu zote zinazofanya usajili huku tukiona majina makubwa ya kitua nchini toka nchi jirani tena wakiwa na bado na mikataba na timu zao kama vile hawa Wacongo wa Yanga na Wazambia wa Simba.
swali ni yupi mchezaji aliye gharimu pesa kubwa?
juzi nilisikia Manara akisema konde boy ni dola laki 5
Je bongo tumefikia hatua ya kununua mchezaji kwa bilion kweli?