DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
SawaKing kibaa
Ukiacha ukabila ukawa general .. Post zako zitakuwa na maslay kwa wengi.. Ila ukiendelea na hii tabia ya ukanda na Uhaya unaokusumbua utaishia kudharaulika humu ndani.. Kwanza post zako nyingin kujaza trend nyingi zisizo na maana... Kila kitu bukoba , uhaya , Sauda karoli kafanya nn mwaka huu?? Yaan mtu kushikwa mkono anagalao aanze kurudi tayari ni msanio bora wa mwaka???Saida karoli
Kakobe.Yupi msanii wako bora 2017
Mimi kwangu ni Saida Kalori omwana wabukoba ...
Tinabingi byakugamba ninshaba omkama amwebembele.......[emoji122] [emoji122]
chonka wanshekya munoYupi msanii wako bora 2017
Mimi kwangu ni Saida Kalori omwana wabukoba ...
Tinabingi byakugamba ninshaba omkama amwebembele.......[emoji122] [emoji122]
Kumpenda saida karori ndo kuwa mkabila kweli we ndo mkabila mkubwa unaefikiria hivyo poor thinking .ukabila ndo huo wa kwa nini kabila lile lakini sio wa kutoa habari kama ninavyofanya.hebu nikwambie ukweli una roho mbaya na wivu mkubwaUkiacha ukabila ukawa general .. Post zako zitakuwa na maslay kwa wengi.. Ila ukiendelea na hii tabia ya ukanda na Uhaya unaokusumbua utaishia kudharaulika humu ndani.. Kwanza post zako nyingin kujaza trend nyingi zisizo na maana... Kila kitu bukoba , uhaya , Sauda karoli kafanya nn mwaka huu?? Yaan mtu kushikwa mkono anagalao aanze kurudi tayari ni msanio bora wa mwaka???
Nimeona post nyingi zako unabishana na watu ukabila nikawa natafuta kujua kwanin kila post yako mmnabishana na watu ukabila sasa nimegundua kumbe wewe ndio chanzo cha ukabila huku ndani...
Bora ukae tu bila kupost kama huna vitu vya maslayi mapana kwa wote.. Unatuchosha..na uhaya na ubukoba kwenye kila kitu..
Allaah...
Huko Youtube wanaangalia wakina nani? Au waangaliaji hawakai mitaani?Msanii bora wa mwaka-Asley
Mwimbaji bora mwaka-Asley
Nyimbo bora ya mwaka-Angekuwepo mama (hii nyimbo haitokuja kuchuja)
Hao wasanii wengine wawili wanapoelekea wanakuwa wasanii wa YouTube, mtaani huku hawasikiki