Yupi Msanii bora kwa mwaka 2017?

Yupi Msanii bora kwa mwaka 2017?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Yupi msanii wako bora 2017

Mimi kwangu ni Saida Kalori omwana wabukoba(Mtoto wa Bukoba) ...

Tinabingi byakugamba ninshaba omkama amwebembele.(Sina mengi ya kusema, namuomba Mungu ambariki)
 
Saida karoli
Ukiacha ukabila ukawa general .. Post zako zitakuwa na maslay kwa wengi.. Ila ukiendelea na hii tabia ya ukanda na Uhaya unaokusumbua utaishia kudharaulika humu ndani.. Kwanza post zako nyingin kujaza trend nyingi zisizo na maana... Kila kitu bukoba , uhaya , Sauda karoli kafanya nn mwaka huu?? Yaan mtu kushikwa mkono anagalao aanze kurudi tayari ni msanio bora wa mwaka???

Nimeona post nyingi zako unabishana na watu ukabila nikawa natafuta kujua kwanin kila post yako mmnabishana na watu ukabila sasa nimegundua kumbe wewe ndio chanzo cha ukabila huku ndani...

Bora ukae tu bila kupost kama huna vitu vya maslayi mapana kwa wote.. Unatuchosha..na uhaya na ubukoba kwenye kila kitu..

Allaah...
 
Nahisi umemiliki simu ya smartphone mwaka huu maan Siyo kwa ulimbukeni huwo.. Au kama sijakosea elimu yako ni ndogo sana... Acha ukabila..
 
Tukipima kwa kiwango cha wimbo kua national anthem hapa wataingia wawili.

Darasa ft Ben Pol na wimbo wa Muziki. Halafu Ali Kiba na wimbo wa Seduce Me.

Muziki ikasababisha balaa kuna wadau wakadai eti yule jamaa ndiyo kiboko ya Diamond[emoji83] [emoji1] [emoji1] halafu baada ya mwezi Muziki ikawa shit, akitaka asipotee masikioni kwa watu akatoa wimbo Utanitoa Roho, ujinga akafuatisha melody ya wimbo wa muziki.

Watu tunashangaa huyu jamaa kwanini ameenda na move shit akatoa Hasara Roho, hii nayo akafuatisha mahadhi ya Muziki. Watu wakajua kumbe jamaa mbabaishaji.

Hapo sasa tunabaki na Ali Kiba. Huyu naye kaenda mwisho akakutana na Dr Shika, mzee akaukamata mwaka 2017 kisawa sawa, mtu unamheshimu haswa unashangaa anakwambia "Itapendeza sasa".
Mzee akala shavu na Sportpesa, hatujakaa sawa mara kwenye shooting ya Roma na Stamina. Mara yupo Kigoma na msafara kaachia 200$.

Huyu akakutana na balaa la Wema Sepetu kurudi CCM, huyu akakimbiza kidogo kwakua Dada wa Taifa (Kimambi) alikua kaibiwa akaunti na hata baada ya kuipata akagoma kumuongelea.

Boosting ikafa.

Lakini kwa usanii aliowafanyia CDM huyu Wema Sepetu ndiyo msanii bora kwangu mimi.
 
Ukiacha ukabila ukawa general .. Post zako zitakuwa na maslay kwa wengi.. Ila ukiendelea na hii tabia ya ukanda na Uhaya unaokusumbua utaishia kudharaulika humu ndani.. Kwanza post zako nyingin kujaza trend nyingi zisizo na maana... Kila kitu bukoba , uhaya , Sauda karoli kafanya nn mwaka huu?? Yaan mtu kushikwa mkono anagalao aanze kurudi tayari ni msanio bora wa mwaka???

Nimeona post nyingi zako unabishana na watu ukabila nikawa natafuta kujua kwanin kila post yako mmnabishana na watu ukabila sasa nimegundua kumbe wewe ndio chanzo cha ukabila huku ndani...

Bora ukae tu bila kupost kama huna vitu vya maslayi mapana kwa wote.. Unatuchosha..na uhaya na ubukoba kwenye kila kitu..

Allaah...
Kumpenda saida karori ndo kuwa mkabila kweli we ndo mkabila mkubwa unaefikiria hivyo poor thinking .ukabila ndo huo wa kwa nini kabila lile lakini sio wa kutoa habari kama ninavyofanya.hebu nikwambie ukweli una roho mbaya na wivu mkubwa
 
Msanii bora wa mwaka-Aslay
Mwimbaji bora mwaka-Aslay
Nyimbo bora ya mwaka-Angekuwepo mama (hii nyimbo haitokuja kuchuja)
Hao wasanii wengine wawili wanapoelekea wanakuwa wasanii wa YouTube, mtaani huku hawasikiki
 
Back
Top Bottom