Yupi Msanii bora kwa mwaka 2017?

Kumpenda saida karori ndo kuwa mkabila kweli we ndo mkabila mkubwa unaefikiria hivyo poor thinking .ukabila ndo huo wa kwa nini kabila lile lakini sio wa kutoa habari kama ninavyofanya.hebu nikwambie ukweli una roho mbaya na wivu mkubwa
Jiangalie post zako zote.. Utaelewa nakwambia nn.. Huwa napitaga nakuta malumbano ya ukabila kila unacho post.. Sasa kama umekuja hapa ukapost alafu ukaandika kihaya unamaanisha hili ni jukwaa la wahaya tu wengine haituusu??

Unaelimu gani wewe?? Dah
 
Kwa nini nikipost kuhusu bukoba unasema haikuhusu mbona na kule ni Tanzania .mi uwa nawaeleza ukweli wanaotusi bk bila sababu ya msingi .sasa wew ambaye unaona bk hai kuhusu wakati ni tz ndo mkabila mkubwa hebu fuatilia post zangu kama ulishaona nayaponda makabila mengine mi uwa nawatetea bk basi.halafu kama unaona kumsifia saida karori ni shida yaani una chuki mbaya dhidi ya wahaya na unajiumiza bure kwa watu wasiokufikiria kamwe bora uachane nao tu
 
Nimeandika kihaya wapi
 
Aslay....natamba na angekuona ni best song mwaka huu
 
Aslay best kwa kwelii... Wengine wotee wamepuyangaa tu.mwaka huu
 

Moyo sukuma damu sivingineee hamna kama huo wimbo
 
kumbe kwa sababu mmetokea mkoa mmoja.....!!!!
 
1. Allykiba
2. Aslay
3. Dimond
Hizo ndo tatu zangu bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…