Yupi Msanii bora kwa mwaka 2017?

Yupi Msanii bora kwa mwaka 2017?

Kumpenda saida karori ndo kuwa mkabila kweli we ndo mkabila mkubwa unaefikiria hivyo poor thinking .ukabila ndo huo wa kwa nini kabila lile lakini sio wa kutoa habari kama ninavyofanya.hebu nikwambie ukweli una roho mbaya na wivu mkubwa
Jiangalie post zako zote.. Utaelewa nakwambia nn.. Huwa napitaga nakuta malumbano ya ukabila kila unacho post.. Sasa kama umekuja hapa ukapost alafu ukaandika kihaya unamaanisha hili ni jukwaa la wahaya tu wengine haituusu??

Unaelimu gani wewe?? Dah
 
Kwa nini nikipost kuhusu bukoba unasema haikuhusu mbona na kule ni Tanzania .mi uwa nawaeleza ukweli wanaotusi bk bila sababu ya msingi .sasa wew ambaye unaona bk hai kuhusu wakati ni tz ndo mkabila mkubwa hebu fuatilia post zangu kama ulishaona nayaponda makabila mengine mi uwa nawatetea bk basi.halafu kama unaona kumsifia saida karori ni shida yaani una chuki mbaya dhidi ya wahaya na unajiumiza bure kwa watu wasiokufikiria kamwe bora uachane nao tu
 
Jiangalie post zako zote.. Utaelewa nakwambia nn.. Huwa napitaga nakuta malumbano ya ukabila kila unacho post.. Sasa kama umekuja hapa ukapost alafu ukaandika kihaya unamaanisha hili ni jukwaa la wahaya tu wengine haituusu??

Unaelimu gani wewe?? Dah
Nimeandika kihaya wapi
 
Aslay best kwa kwelii... Wengine wotee wamepuyangaa tu.mwaka huu
 
Tukipima kwa kiwango cha wimbo kua national anthem hapa wataingia wawili.

Darasa ft Ben Pol na wimbo wa Muziki. Halafu Ali Kiba na wimbo wa Seduce Me.

Muziki ikasababisha balaa kuna wadau wakadai eti yule jamaa ndiyo kiboko ya Diamond[emoji83] [emoji1] [emoji1] halafu baada ya mwezi Muziki ikawa shit, akitaka asipotee masikioni kwa watu akatoa wimbo Utanitoa Roho, ujinga akafuatisha melody ya wimbo wa muziki.

Watu tunashangaa huyu jamaa kwanini ameenda na move shit akatoa Hasara Roho, hii nayo akafuatisha mahadhi ya Muziki. Watu wakajua kumbe jamaa mbabaishaji.

Hapo sasa tunabaki na Ali Kiba. Huyu naye kaenda mwisho akakutana na Dr Shika, mzee akaukamata mwaka 2017 kisawa sawa, mtu unamheshimu haswa unashangaa anakwambia "Itapendeza sasa".
Mzee akala shavu na Sportpesa, hatujakaa sawa mara kwenye shooting ya Roma na Stamina. Mara yupo Kigoma na msafara kaachia 200$.

Huyu akakutana na balaa la Wema Sepetu kurudi CCM, huyu akakimbiza kidogo kwakua Dada wa Taifa (Kimambi) alikua kaibiwa akaunti na hata baada ya kuipata akagoma kumuongelea.

Boosting ikafa.

Lakini kwa usanii aliowafanyia CDM huyu Wema Sepetu ndiyo msanii bora kwangu mimi.

Moyo sukuma damu sivingineee hamna kama huo wimbo
 
1. Allykiba
2. Aslay
3. Dimond
Hizo ndo tatu zangu bora
 
Back
Top Bottom