Yupi Msanii Bora wa Kike wa Hip Hop Kipindi Hichi 2017

hapana mkuu nimekumbuka tu ripoti za shule ya msingi tukishika nafasi moja watu watu wawili mfano mtu wa pili wanaweka point tano(2.5)
Hehe uko sahihi mkuu ndo maana nikakuuliza habari za walimu
 
Kuna huyu anaitwa Ummy Mwanafunzi japo sina hakika sana na miondoko yake.....lkn nafkir ni msanii bora wa kiume 2017
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…