mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,568
- 6,424
Hehe uko sahihi mkuu ndo maana nikakuuliza habari za walimuhapana mkuu nimekumbuka tu ripoti za shule ya msingi tukishika nafasi moja watu watu wawili mfano mtu wa pili wanaweka point tano(2.5)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehe uko sahihi mkuu ndo maana nikakuuliza habari za walimuhapana mkuu nimekumbuka tu ripoti za shule ya msingi tukishika nafasi moja watu watu wawili mfano mtu wa pili wanaweka point tano(2.5)
Kubinua mdomoOhoo...mfano zipi
Kama hivi...[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Kubinua mdomo
Hehe umeona sasa...hata akiwa anaimba ni hivo hivo na vituko vungine vingi na kupayuka sana wakidhani hip hop lazima upayukeKama hivi...[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]![]()
![]()
mkuu lakini ni swagga aliyojichaguliaHehe umeona sasa...hata akiwa anaimba ni hivo hivo na vituko vungine vingi na kupayuka sana wakidhani hip hop lazima upayuke