yupi mwenye afadhali

yupi mwenye afadhali

jamani tusaidiane kwenye hili,yupi mwenye afadhali kati ya watu hawa wawili
anayekujali saana tu muda wote anataka kujua unafanya nini anakutext asubuhi na mapema kukujulia hali anakusaidia shida zako zote kwa kifupi anakutekelezea kila kitu,BUT suala la kitandani ni sifuri yani anafika kileleni ndani ya dk mbili akikuacha hoi kwa kutokumaliza hamu
na huyu wa pili yy yupo vizuri mno kitandani anakufanyia kila kitu na mpka unamaliza haja yako vizuri kwa kifupi kitandani yupo fit na kama hujaridhika atajitahidi mpka uridhike,BUT,suala la mawasiliano ni hakuna na hakuonyeshi kama anakupenda ama vipi akikupigia simu asubuhi ni mpk usiku au asikupigie kabisa hakusaidii kwa lolote kwa kifupi kwa mapenzi ya nje hakupi kabisa.

Kama kwenu hamna msosi mfuate wa kwanza lakini kama unataka mshariba basi wa pili. Sasa hapo ukishwindwa kabisa amfiga mawili poa tu ........................... ni wewe na roho yako tu
 
daa Mwasu umeleta topic wakat wake,mimi bora ya kizungu ya kwanza hapo maana ni mapenzi ya kweli hii ya kiafrika miajianaume ya kiafrika isiyojali hata shling elfu hamsini likikusaidia litatatangaze ohh nilikusaidia elfu hamsni mkiachana anakudai ha ha ha.bora wa kizungu unajua ni mapenzi ya kweli kwa shida na raha..
 
vitu vingine ni vya kiustaarabu zaidi, huwezi kukaa kmasaa cku nzima hujajua hali ya mwandani wako inakwendaje, acha hayo mambo ya cnema hii ni ki2 nachoro(kiswahili zaidi) jitu hata asante halijui, kunavitu vingine suna bwana japo si fundermental ktk mapenzi ila vinakoleza penzi au sio mwasu
ulijuaje ferds siyo lazima mambo ya kizungu kweli mtu hata salam siku nzima?halafu isitoshe mapenzi ni vitendo bila vitendo nitajuaje unanipenda jamani?upo sahihi kabisa ferds
 
Mbona mi niko caring kwa kila kitu na bado kitandani niko fit,hivi kuna watu ambao wanakosa sifa hizi,anyway wacha niwasome wachangiaji.
eeeh paka wapo saaana tu hongera kama ww umejaaliwa yote kwa pamoja
 
Back
Top Bottom