QALLI MIZOH
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 2,075
- 698
kuna dogo mmoja alikuwa anafanya naye kazi,dogo aliyetengeneza video ya mwisho ya shilole kama sikosei,alipoona jamaa anaanza kujulikana akamtemaTatizo jingine la NISHER anapenda sana sifa..yaani yule jamaa kujisifu kwingi mpaka anapitiliza
For sure mkuu..!NISHER anabebwa sana, ila ni wa kawaida sana.
Anatumia Color effects sana hadi Anaboa.
NICK DIZZO ni mkali ila hana Promo.
Egoism sana mjamaa...kuna dogo mmoja alikuwa anafanya naye kazi,dogo aliyetengeneza video ya mwisho ya shilole kama sikosei,alipoona jamaa anaanza kujulikana akamtema
Nick dizzo mkali.. But nilikua namkubali Eryn Epidu more...
Duh kwa hiyo jamaa anafanyiwa KAZI??kuna dogo mmoja alikuwa anafanya naye kazi,dogo aliyetengeneza video ya mwisho ya shilole kama sikosei,alipoona jamaa anaanza kujulikana akamtema
YES! Kuna siku alisema studio yake ina gharama ya zaidi millioni 100 .. hapo hapo analalamika hana RED CAMERA!! mpaka akodisheTatizo jingine la NISHER anapenda sana sifa..yaani yule jamaa kujisifu kwingi mpaka anapitiliza
YES! Kuna siku alisema studio yake ina gharama ya zaidi millioni 100 .. hapo hapo analalamika hana RED CAMERA!! mpaka akodishe
Eryn Epidu bado sana kumlinganisha na NICK DIZZO.
kwani promo ni nini? video ikiwa kali na promo ndio inapokuja hapohapo....!!Nick dizo mkali sana lakini hana promo