QALLI MIZOH
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 2,075
- 698
Wote ni video director wa video za kibongo wakali sana ninaowaaminia.
niambie mdau kwa mtazamo wako nani anasumbua sana kati ya hivi vichwa viwili?
baadhi ya video za NISHER ni:
Baadhi ya video za nikki dizzo ni:
niambie mdau kwa mtazamo wako nani anasumbua sana kati ya hivi vichwa viwili?
baadhi ya video za NISHER ni:
- Nje ya Box- WEUSI
- Unanichora-Ben Pol
- Kijukuu-Young dee..
Baadhi ya video za nikki dizzo ni:
- tummoghele- Izzo B
- Nishike mkono-D Knob ft Mwasiti
- Shut up kimya- Micharazo na B.O.B