Yupi ni Kepteni Wako Bora wa Muda Wote?

Yupi ni Kepteni Wako Bora wa Muda Wote?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Unapoona kitambaa cha Unahodha akilini mwako huwa anakujia mchezaji gani? Au ni kepteni gani ambaye huwa unamuona ni bora sana kwa muda wote?

Jinsi anavyohamasisha wenzake na anavyopambana kufia timu yake. Anaweza akawa ni levo ya klabu ama levo ya timu ya taifa. Pia anaweza akawa anacheza sasa au ameshastafu. Yupi ni kepteni wako bora?
77134244_178584873200831_4332442872128057483_n.jpeg
 
Unapoona kitambaa cha Unahodha akilini mwako huwa anakujia mchezaji gani? Au ni kepteni gani ambaye huwa unamuona ni bora sana kwa muda wote?

Jinsi anavyohamasisha wenzake na anavyopambana kufia timu yake. Anaweza akawa ni levo ya klabu ama levo ya timu ya taifa. Pia anaweza akawa anacheza sasa au ameshastafu. Yupi ni kepteni wako bora?
View attachment 1277225

Steven Gerrard SG8
 
Lingard wa MANJESTA 😆😆😆
 
Back
Top Bottom