Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Tupo pamoja Mkuu,nilikuwa namkubali sana hiki Kitasa.Fernando Hierro
View attachment 1277231
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo pamoja Mkuu,nilikuwa namkubali sana hiki Kitasa.Fernando Hierro
View attachment 1277231
Wasomali waliingia Chaka wakateka hiyo Meli iliyokuwa na Captain wa Kimarekani kilichowapata kutoka kwa Navy Seal hawatakaa wasahau.Brother, naomba hii history kama hutojali.... Please
Sasa ntakupa vipi maana humu jf huwezi upload movie mkuu.Brother, naomba hii history kama hutojali.... Please
Ile meli kuna bilionaire mmoja kainunua IPO dubai pale sharjah port kama pambo yani ipo vile vile tangu ilivyotekwa hata rangi hawaja irudia sijui labda mwaka huu pengine ila baada ya kutoka somalia ilipelekwa dubai.Wasomali waliingia Chaka wakateka hiyo Meli iliyokuwa na Captain wa Kimarekani kilichowapata kutoka kwa Navy Seal hawatakaa wasahau.
Ni movie?! Naomba jinaSasa ntakupa vipi maana humu jf huwezi upload movie mkuu.
Andika Captain Philipe kwenye youtube utaipata hyo documentary.Ni movie?! Naomba jina
Nilikua namuamina Sana Patrick Viera pale ndani ya Arsenal ,,,,upande wa pili man u nilimkubali Sana Roy keaneUnapoona kitambaa cha Unahodha akilini mwako huwa anakujia mchezaji gani? Au ni kepteni gani ambaye huwa unamuona ni bora sana kwa muda wote?
Jinsi anavyohamasisha wenzake na anavyopambana kufia timu yake. Anaweza akawa ni levo ya klabu ama levo ya timu ya taifa. Pia anaweza akawa anacheza sasa au ameshastafu. Yupi ni kepteni wako bora?
View attachment 1277225
Ulikuwa kichwani mwangu!Nilikua namuamina Sana Patrick Viera pale ndani ya Arsenal ,,,,upande wa pili man u nilimkubali Sana Roy keane
Walikuwa na vita yao na mwenzie Patrick Veira wa Arsenal!Roy Keane