adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Captain JumongCaptain G wahabashi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Captain JumongCaptain G wahabashi.
Ukocha amefeli baada ya kufukuzwa Granada, mara kadhaa ameonekana akichambua mechi kadhaa kwenye vituo vikubwa vya luninga Uingereza kama vile Sky Sports na BT sports.Hivi tonny Adam's ukocha uliishia wapi,hivi ana undugu na mke wa Beckham
Kumbe ile ni true storyIle meli kuna bilionaire mmoja kainunua IPO dubai pale sharjah port kama pambo yani ipo vile vile tangu ilivyotekwa hata rangi hawaja irudia sijui labda mwaka huu pengine ila baada ya kutoka somalia ilipelekwa dubai.
On the morning of April 8, the Alabama sighted a small speedboat carrying four pirates armed with AK-47s. The unarmed crew attempted to ward off an attack, shooting off flares and spraying fire hoses. However, two Somalis were able to board the vessel, marking the first time in some 200 years that pirates had set foot on a ship sailing under the U.S. flag. The crew managed to disable the Alabama, and most retreated to the fortified steering room. However, Phillips and several others were captured on the bridge. Around this time, the remaining two pirates also boarded the ship.Kumbe ile ni true story👇👇👇👇
Ila mkuu nilimpenda aliacha foundation nzuri kwa structure ya team ambayo inatoa +ve response pale haswa msimu huuUkocha amefeli baada ya kufukuzwa Granada, mara kadhaa ameonekana akichambua mechi kadhaa kwenye vituo vikubwa vya luninga Uingereza kama vile Sky Sports na BT sports.
Hana undungu wowote na Victoria Adams "Posh"
Una maana ya Mecky Mexime
marcio maximo
Alikua Casilasi ka sijakoseaSio kweli, Spain wanachukua World Cup South Africa captain alikuwa Carles Puyol. Mfumo wao ni kwamba, mtu ambaye amekaa kwenye timu kwa muda mrefu kuliko wote ndio anavaa kitambaa.
Granit Xhaka
Nadhani ulitaka sema "Mecky Mexime" na si Maximo.MAXIMO
Jamani namzungumzia huyu baba wa Taifa [emoji2] MsinipotosheNadhani ulitaka sema "Mecky Mexime" na si Maximo.
Sio kweli, Spain wanachukua World Cup South Africa captain alikuwa Carles Puyol. Mfumo wao ni kwamba, mtu ambaye amekaa kwenye timu kwa muda mrefu kuliko wote ndio anavaa kitambaa.
Kumbe alikuwa ananoa academy ya arsenalIla mkuu nilimpenda aliacha foundation nzuri kwa structure ya team ambayo inatoa +ve response pale haswa msimu huu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Astaghfillullah