Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
MAXIMO
Unapoona kitambaa cha Unahodha akilini mwako huwa anakujia mchezaji gani? Au ni kepteni gani ambaye huwa unamuona ni bora sana kwa muda wote?
Jinsi anavyohamasisha wenzake na anavyopambana kufia timu yake. Anaweza akawa ni levo ya klabu ama levo ya timu ya taifa. Pia anaweza akawa anacheza sasa au ameshastafu. Yupi ni kepteni wako bora?
View attachment 1277225
Lingard wa MANJESTA 😆😆😆Unapoona kitambaa cha Unahodha akilini mwako huwa anakujia mchezaji gani? Au ni kepteni gani ambaye huwa unamuona ni bora sana kwa muda wote?
Jinsi anavyohamasisha wenzake na anavyopambana kufia timu yake. Anaweza akawa ni levo ya klabu ama levo ya timu ya taifa. Pia anaweza akawa anacheza sasa au ameshastafu. Yupi ni kepteni wako bora?
View attachment 1277225
El Capitani De La RomaFrancesco Totti
Kipenzi cha wana Roma. Mtu wa pili kwa umaarufu baada ya Papa ndani ya jiji la RomeFrancesco Totti
Nakubali mkuuPaul Maldini
Captain FantasticSteven Gerrard SG8
Hivi kwanini Captain wa Real Madrid ndio lazima awe Captain wa Hispania?Fernando Hierro
View attachment 1277231
Kwa miaka ya karibuni huyu ndio kepteni wangu bora wa timu ya taifa ya Brazil.Dunga.
Imekaa kisiasa zaidi... Niulize nifafanue maana nimeshindwa kueleza.Hivi kwanini Captain wa Real Madrid ndio lazima awe Captain wa Hispania?
Brother, naomba hii history kama hutojali.... PleaseCaptain Philip wa Maersk Alabama alitekwa somalia 2009, huyo ndio Captain nnaemtabua Mimi wengine mbaki kuwa ma skipper hamjui maana ya Captain.