Yupi ni mchezaji kiraka zaidi unayemkubali?

Yupi ni mchezaji kiraka zaidi unayemkubali?

Yaya toure amewahi piga back pale barca kwa kiwango kikubwa
 
Kwa Sasa NI fabinho anacheza kwa kiwango sawia.
Kule Monaco alikuwa RB.
Kuna Dani Alves huyu jamaa ni old version ya Joshua kimmich
 
Back
Top Bottom