Yupi ni msanii bora wa bongo flava kwa sasa?

Yupi ni msanii bora wa bongo flava kwa sasa?

Barcelona763

Member
Joined
Mar 9, 2018
Posts
26
Reaction score
21
Msanii yupi ambae kwa sasa hivi anafanya vizuri sana kwa katika kazi zake za muziki mwaka huu ni nani ?
 
Wanaojua kuliko Diamond mbona ni wengi sana. Ila kwenye mafanikio anawakimbiza wote wanaojua zaidi yake.
Kwanini?
Jamaa anajua kama muziki ni biashara,na anaifanya kweli biashara ya muziki.
Ulichosema ni sahihi kabisa. Diamond ana uongozi mzuri ambao wanajua kucheza na soko na akili za mashabiki
 
Wanaojua kuliko Diamond mbona ni wengi sana. Ila kwenye mafanikio anawakimbiza wote wanaojua zaidi yake.
Kwanini?
Jamaa anajua kama muziki ni biashara,na anaifanya kweli biashara ya muziki.
Ww shabiki yake
 
Back
Top Bottom