Yupi ni msanii bora wa bongo flava kwa sasa?

Wanaojua kuliko Diamond mbona ni wengi sana. Ila kwenye mafanikio anawakimbiza wote wanaojua zaidi yake.
Kwanini?
Jamaa anajua kama muziki ni biashara,na anaifanya kweli biashara ya muziki.
Sasa umeulizwa habari ya muziki au biashara? No wonder hata shule ulikuwa kilaza..
 
Wanaojua kuliko Diamond mbona ni wengi sana. Ila kwenye mafanikio anawakimbiza wote wanaojua zaidi yake.
Kwanini?
Jamaa anajua kama muziki ni biashara,na anaifanya kweli biashara ya muziki.
Sasa si ndo kujua huko,unaweza ukawini biashara ya nyanya Kama ujui kuuza nyanya?
 
Back
Top Bottom