Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Nipo na wadau tunabishana hapa, je Hazard, Bale, Neymar, Pogba, na wengineo, Je ni yupi anafaa kuwa watatu kwa ubora kando ya Messi na Ronaldo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhhh mnyonge mnyongen haki yake mpeni,,,, umeishia nusu pia pogba ni mzuri kuliko messi,,, wachezaji bora wa dunia yako ni pogba na hazardHivi nikweli kabisa ndani ya akili yako unaamini kuwa Ronaldo ana ubora zaidi ya Mudric na Hazard?
Kaniletee mudric [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi nikweli kabisa ndani ya akili yako unaamini kuwa Ronaldo ana ubora zaidi ya Mudric na Hazard?
Bale anamaajabu gani kwasasa?Nikiwapanga watafuatana hivi
Neymar Jr
Eden hazard
Gareth bale
Mudric ndo mchezaji wa wapiHivi nikweli kabisa ndani ya akili yako unaamini kuwa Ronaldo ana ubora zaidi ya Mudric na Hazard?
Ni sababu ya afya yake ndio kashuka but he is good ninavyoonaBale anamaajabu gani kwasasa?
Labda ModrićMudric ndo mchezaji wa wapi
Nipo na wadau tunabishana hapa, je Hazard, Bale, Neymar, Pogba, na wengineo, Je ni yupi anafaa kuwa watatu kwa ubora kando ya Messi na Ronaldo?
Nipo na wadau tunabishana hapa, je Hazard, Bale, Neymar, Pogba, na wengineo, Je ni yupi anafaa kuwa watatu kwa ubora kando ya Messi na Ronaldo?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] huu umekua ni uzi wa comedy sasaHhhh mnyonge mnyongen haki yake mpeni,,,, umeishia nusu pia pogba ni mzuri kuliko messi,,, wachezaji bora wa dunia yako ni pogba na hazard
Hapo namba 2 Weka AJIBU basiMkuu utamuachaje Dybala?
- MESSI
- ...
- ...
- CR7 and DYBALA