Yupi ni Mwanasoka wa tatu kwa Ubora baada ya Messi na Ronaldo?

Yupi ni Mwanasoka wa tatu kwa Ubora baada ya Messi na Ronaldo?

Kwa waliopata bahati na nafasi ya kuonekana ulimwenguni; CR7 na Messi wanajua, ila kwa upande wangu kuna miungu wa mpira wa miguu ambao dunia haijawaona na waliowahi kuonekana, hawakupata PROMO

Nimewahi kuona pia baadhi ya wachezaji; majina yao kukuzwa sana kuliko uwezo walionao lakini haikuwezekana.
 
Nipo na wadau tunabishana hapa, je Hazard, Bale, Neymar, Pogba, na wengineo, Je ni yupi anafaa kuwa watatu kwa ubora kando ya Messi na Ronaldo?

Alafu mkuu ningekushauri kidogo. Tafadhali mtoe hapo MESSI sio pahala pake mkuu tafadhali, unamvujia heshima. MESSI anatakiwa awepo katika utatu yani

  1. MESSI
  2. DIEGO ARMANDO
  3. PELE
 
Back
Top Bottom