Yupi ni Mwanasoka wa tatu kwa Ubora baada ya Messi na Ronaldo?

Hivi nikweli kabisa ndani ya akili yako unaamini kuwa Ronaldo ana ubora zaidi ya Mudric na Hazard?
Acha ujinga wewe jamaa,unaujua mpira kweli wewe?? Acha kumfananisha CR7 na vitu vya kijinga
 
Kwaiyo uwezo wa mchezaji unapimwa kutokana na rekodi alizovunja au Skills na nini analofanya ndani ya uwanja?
Record ndio zinamua ubora wa mchezaji,hata JJ okocha alikuwa na skills but hayupo hata kwenye kumbukumbu za Best player... Kuna watu hamjui mpira but mnafosi kuchangia
 
Record ndio zinamua ubora wa mchezaji,hata JJ okocha alikuwa na skills but hayupo hata kwenye kumbukumbu za Best player... Kuna watu hamjui mpira but mnafosi kuchangia

Kwaiyo kwa kutokana na Logic yako
Thierry Henry ni zaidi ya Zidane
Etoo ni zaidi ya Maradona.
 
Wakuu hakika hakuna kama Messi kwa sasa hivi yule anacheza mpira wa kuzaliwa nao sio mazoezi ya nguvu 24 hrs like cr7 lakini baada ya hao Suarez nafikiri anafuata Pamoja na Neymer
 
Nipo na wadau tunabishana hapa, je Hazard, Bale, Neymar, Pogba, na wengineo, Je ni yupi anafaa kuwa watatu kwa ubora kando ya Messi na Ronaldo?
Kwanza,yupi anaanza katika mtiririko sahihi,je namba moja ni Messi au Ronaldo?
 
Binafsi kwa sasa baada ya!

  1. King Messi
  2. _____
  3. _____
  4. _____
  5. _____
  6. Dybala and Salah
  7. Cr7 and De bruyn
  8. Neimar, Hazard and Sane
 
Messi
Zidane
Ronaldo
Ronaldinho
Andrea Pirlor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…