Yupi ni Mwanasoka wa tatu kwa Ubora baada ya Messi na Ronaldo?

Yupi ni Mwanasoka wa tatu kwa Ubora baada ya Messi na Ronaldo?

Hata Iniest bado mmegoma kumtaja jamani!???
 
Wakuu hakika hakuna kama Messi kwa sasa hivi yule anacheza mpira wa kuzaliwa nao sio mazoezi ya nguvu 24 hrs like cr7 lakini baada ya hao Suarez nafikiri anafuata Pamoja na Neymer
Mchezaji ili uwe mchezaji unahitaji aina flani ya mazoez, sio kwamba mazoez anayofanya ronaldo ni kwaajili ya mpira tuu, fatilia historia yake utajua kwanin ronaldo anafanya mazoez mengi, kimoja kwa kukusaidia jua kua yule ni model lazima maintainance ya body iwepo
 
Kiboko ya wote kwa sasa ni Mo Salah.
Hiyo ni mashine ya ajabu uwanjani, uwezo wake kisoka kwa sasa ni sawa na Kumchukua Messi na kumjumlisha na Iniesta ndio unapata Mo Salah mmoja. Kwa nini?
Mo Salah ameonyesha mambo haya uwanjani.
-Mfungaji mzuri zaidi
-Mtoaji pasi za mwisho za Magoli.
-Mchezeshaji wa timu

Mafanikio ya MO Salah msimu huu.
1/Mfungaji bora wa Ligi kuu ya Uingereza.
2/Ni miongoni mwa wafungaji wenye magoli mengi zaidi kwenye Klabu bingwa ya Ulaya msimu huu.
3/Ndio mtoa pasi za mwisho bora zaidi kwa Ulaya kwa sasa.
4/Ndio nguzo ya mafanikio ya Liverpool kwenye ligi kuu ya Uingereza na Klabu bingwa ulaya kwa msimu huu.
5/Ndio amewezesha Misri kufuzu na kuingia kombe la dunia.

Kwangu mimi kwa sasa, Mohamed Salah ndio mchezaji bora wa soka duniani akiwa amewaacha mbali sana kina Messi na Ronaldo.
 
Nipo na wadau tunabishana hapa, je Hazard, Bale, Neymar, Pogba, na wengineo, Je ni yupi anafaa kuwa watatu kwa ubora kando ya Messi na Ronaldo?
Aisee mbona mnaharibia watu heshima zao Mkuu

Huyo Hazard na Bale mnathubutu hata kuwapendekeza hapo? Seriously?

Poleni sana



Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app
 
Mercelo toka palepale nyumba moja na C. Rinaldo, yule jamaa ni fundi aisee namuelewa sana
 
Wachezaji bora hupimwa na wana mpira kwa vigezo. Walioingia 3 bora.
 
Hivi nikweli kabisa ndani ya akili yako unaamini kuwa Ronaldo ana ubora zaidi ya Mudric na Hazard?
jibu swal kam ulivyoulizw kam uwezi jibu acha sio lazma nawas was na shule yako kichwan
 
Amini usiamini Lroy Sane anahusika hapo Neymar Hana lolote
 
Back
Top Bottom