Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo salah ni mchezaji bora ila sio kwa rank ya neymar, tusimuangalie tuu kwa msimu huu tukumbuke neymar toka enzi yupo santos mpaka leo anafanya vizuri1. C.Ronaldo
2. Messi
3. M.Salah
4. Neymar
5. Lewandowsk
Ronaldinho sio wa ku compare na hao wengine yule bora sanaMessi
Zidane
Ronaldo
Ronaldinho
Andrea Pirlor
Anastahili pongezi kwa umri alionao na mambo anayofanyacr 7 anazidi kukimbiza na 33 yake....
Mchezaji ili uwe mchezaji unahitaji aina flani ya mazoez, sio kwamba mazoez anayofanya ronaldo ni kwaajili ya mpira tuu, fatilia historia yake utajua kwanin ronaldo anafanya mazoez mengi, kimoja kwa kukusaidia jua kua yule ni model lazima maintainance ya body iwepoWakuu hakika hakuna kama Messi kwa sasa hivi yule anacheza mpira wa kuzaliwa nao sio mazoezi ya nguvu 24 hrs like cr7 lakini baada ya hao Suarez nafikiri anafuata Pamoja na Neymer
Mohamed SalahNipo na wadau tunabishana hapa, je Hazard, Bale, Neymar, Pogba, na wengineo, Je ni yupi anafaa kuwa watatu kwa ubora kando ya Messi na Ronaldo?
Aisee mbona mnaharibia watu heshima zao MkuuNipo na wadau tunabishana hapa, je Hazard, Bale, Neymar, Pogba, na wengineo, Je ni yupi anafaa kuwa watatu kwa ubora kando ya Messi na Ronaldo?
jibu swal kam ulivyoulizw kam uwezi jibu acha sio lazma nawas was na shule yako kichwanHivi nikweli kabisa ndani ya akili yako unaamini kuwa Ronaldo ana ubora zaidi ya Mudric na Hazard?
Nipo na wadau tunabishana hapa, je Hazard, Bale, Neymar, Pogba, na wengineo, Je ni yupi anafaa kuwa watatu kwa ubora kando ya Messi na Ronaldo?
Kwangu mimi naona anayefuata ni Kevin De BruyneLabda Modrić