Yupi ni Mwanasoka wa tatu kwa Ubora baada ya Messi na Ronaldo?

Ni Neyma. Mchezaji bora lazima awe na uwezo wa ku-attract attention ya opponents, fans na media. Ni mchezaji anaueweza kujaza uwanja. Aidha brand value yake lazima iwe ju. Neyma is next to the dual
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yaki mpeni.

Mohamed Salah hii ni silaha hatari kwa sasa katika ulimwengu wa soka, kwa umri wake mdogo lakin impact yake ni kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…