YUPI NI RAIA WA TANZANIA?

YUPI NI RAIA WA TANZANIA?

BALIKUMI

Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
30
Reaction score
9
Habari wana jamii forumi naombeni msaada kuhusu raia wa tanzania ni yupi?
 
Kwanza tambua kuna uraia wa aina tatu
1:uraia wa kuzaliwa.
Mama na baba au ukoo kwa ujumla ni wazawa.
2:Raia wa kujisajili. Mtu kutoka nje ya nchi na akaomba uraia akasajiriwa kwa vigezo maalumu.
3:Uraia wa kurithi.
Mfano wewe,ukaenda kukaa America na mkapata mtoto/watoto ,huyo mtoto/watoto uraia wao ni wa kurithi.
Kwa Maelezo hayo
Raia wa Tanzania nikama nilivyokueleza hapo juu
 
wote ni raia kwa maana ya raia, but with different enjoyments, when it comes on the national matters, mfano uraia wa kujisajili huwezi kuwa rais wa TZ, na kwenye mambo mengine mengi
 
Back
Top Bottom