Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wote ni raia kwa maana ya raia, but with different enjoyments, when it comes on the national matters, mfano uraia wa kujisajili huwezi kuwa rais wa TZ, na kwenye mambo mengine mengiKwanza tambua kuna uraia wa aina tatu
1:uraia wa kuzaliwa.
Mama na baba au ukoo kwa ujumla ni wazawa.
2:Raia wa kujisajili. Mtu kutoka nje ya nchi na akaomba uraia akasajiriwa kwa vigezo maalumu.
3:Uraia wa kurithi.
Mfano wewe,ukaenda kukaa America na mkapata mtoto/watoto ,huyo mtoto/watoto uraia wao ni wa kurithi.
Kwa Maelezo hayo
Raia wa Tanzania nikama nilivyokueleza hapo juu