Kwanza tambua kuna uraia wa aina tatu
1:uraia wa kuzaliwa.
Mama na baba au ukoo kwa ujumla ni wazawa.
2:Raia wa kujisajili. Mtu kutoka nje ya nchi na akaomba uraia akasajiriwa kwa vigezo maalumu.
3:Uraia wa kurithi.
Mfano wewe,ukaenda kukaa America na mkapata mtoto/watoto ,huyo mtoto/watoto uraia wao ni wa kurithi.
Kwa Maelezo hayo
Raia wa Tanzania nikama nilivyokueleza hapo juu