YUPI unayemjua humu JF?

Mi nimebahatika kumjua mmoja tu anatumia PCM
Nimefurahi kumfahamu naye pia alifurahi kunifahamu.
 
mmmmmhhhhh... #kujuana isiwe tabu.. coastal modern taarab#..
 
Napita sababu kuna jamaa waJF humu ndani nilimuona kwenye costa ni bonge la Mtu mpaka nikaogopa kulisemesha.
 
kwenye chitchat bado sijakutana na yoyote, lakini kwenye jukwaa la matangazo madogo , nimekutana na wengi tu in business issues.....
 
mimi sijajua hata moja ila naamini ipo siku nitakutana na hata 1 natamani sana kukutana na mention madame b

mkiva... Mkiva unataka kuniharibia weekend yangu wewe...
 
Nahisi wote humu mna nijua si mna fuatilia series za movie zangu wajameni......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…