YUPI unayemjua humu JF?

Siku watu wakimfahamu ma2mbo nchi itatikisika...amini nachoongea.
 
Hell nooo!disclosing my identity in here is just as good as being dead,people use weirdoo language and some lash the government at a high degree!By the way who know my inlaws may even be here.
 
hamna ninaye mjua ila kuna ninaowafahamu.!
 
Natamani niwaone wafuatao nikiwaona nitakuwa mwenye furaha sana.

1. Kongosho

2. Charminglady

3. Cacico

4. Madame b

5. Asprin

6. ErickB52

7. Preta

8. Boflo

9. Badili Tabia

10. Wakati ndio sasa....

Ahsanteni...

Hehehe kijana utatuona one day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…