Yupi wa kuoana naye?

Yupi wa kuoana naye?

By giving your arguments, yupi anayefaa kumuoa au kukuoa?

A) Uliyempenda sana
B) Aliyekupenda sana

...all of the above. Msioane iwapo A) au B) likikosekana.
 
Hakuna anayefaa kuoa hapo! kwani ndoa is a double way street. Hapo naona kuna One way tu: au aliyekupenda sana (yaonekana wewe ulimpenda kidogo) au uliyempenda sana (yaonekana yeye alikupenda kidogo). Wote si wa kuoa. Wa kuoa lazima awe yule tuliyependana sana WOTE WAWILI mpaka tukawa ngozingozi, nyamanyama, damudamu, mfupafupa, na moyomoyo. Hapo sasa!
 
Back
Top Bottom