Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 455
- 1,731
Kama title inavyojieleza
Maskani naishi na binti wa 2005 yapata miezi 7 sasa ni ile sogea tukae
Mwanzo tulikua vizuri furaha na upendo ulitawala, nilimpa huduma zote mtoto kanawiri
Mwezi wa 6 nikaona binti yupo busy sana na simu kuchat hadi ufanisi wa baadhi ya mambo ulikua mbaya
Nilipochunguza simu yake nikagundua kuna jamaa wa kijijini kwao anadai mwl. Wake wa primary ndo anachat nae , ukicheck zile chat ni mapenzi tupu
Demu alimwambia msela yupo single na anaishi tu kwa ndugu, kwa kweli nlichukia sana yani nahangaika kutafuta hela demu ale avae apendeze kumbe mwenzangu ananichora tu
Nimemkanya naona haelewi na mimi sio mtu wa kupiga piga mwanamke, ila nimemwambia aongee na huyo jamaa amtumie nauli asepe hapa kwangu amfuate jamaa kama kweli wanapendana kama nlivyobaini kwenye msg ila naona demu kama anataka kuendelea kung'ang'ania hapa maskani
Nafikiria kumfukuza kibabe maana naona analeta dharau sasa nimetumia ustaarabu sana kumkanya na kumuelimisha kwa matendo anayofanya haelewi
Je nikimfukuza nitakosea..?