Yupo busy mno kuchat na msela nafikiria kumtimua

wewe ndiyo hutaki aondoke kwa maana unamfukuza halafu humpi nauli unataka huyo mme mwenzio atoe, utasubiri sana hawezi ondoka vinginevyo ukubali kupasula kwa huduma and remember sharing is always caring.
 
Kuna cha pekeako sasa? Utatafuta meingine yatakuwa hayohayo
 
Unakosea sana. Unapaswa kumuomba msamaha na kuahidi kujirekebisha ulipokosea hadi kumsababishia yeye kufanya hayo yote, ili mdumishe penzi lenu.
 
Umri wa huyo dogo ndo tatizo.Mueleweshe taratibu ataelewa nakukuzingatia.Usimfukuze halafu baadae uje uanze kumtafuta tena.Endelea kuila hiyo mali,taratibu itabadilika.
 
Huna akili kabisa.

Acha huyo mwanaume aje akae na huyo demu wako hapo kwako ndio utafurahia.
 
Kumbe unatambua kupitia hapo hapo Fanya jambo mkalomalie na mwambie nimegundua jambo naomba urudi nyumban akikaa kwao mikoroshini siku 3 harudii Tena
 
We jamaa ukihudhuria kwenye kikao cha wanaume unatakiwa kupigwa bakora za kutosha kabisa, yani unakuja kutuuliza jibu badala ya swali? Mtimue mbio huyo anaona anakuweza sana Vipi wewe 😳
 
Endelea kula bumunda la kitoto kibichi cha elfu huyo jamaa wa kijijini mwache amchatishe ale kwa Bluetooth mapenzi hayataki hasira hako katoto kalee kama vile unalea mtoto mdogo huku ukijilia na usifatilie sana simu yake, pia kape mimba katulize komwe, achana na ushauri wa humu we kula kitumbua cha bure hicho kwa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…