Yupo busy mno kuchat na msela nafikiria kumtimua

Wanaosema tuoe bikra sio wehu
 
Huyo wa 2005 na wewe wa mwaka gani? Kuwa mkweli kwa umri wako
 
Hivi siku hizi watoto kukimbilia kuishi pamoja kinyumba ni fashion ama,wewe mwenyewe mtoto,na mwenzako nae mtoto mmekutana watoto.watupu
Of course hawa wote watoto kupenda ngono ndio kimemfanya amuite sogea tukae binti
 
Haupigagi wanawake? Piga makofi huyo mjinga akili ikae sawa na hakuna kumuacha, mchezee ukimchoka ndo umtimue akili imkae, akaimbe huko mitaani wanaume ni mbwa.
 
Hujamkoleza
 
Muache mwenxio na wewe, kwani hapo shida iko wapi?
 
Daah unatukosea sana muhuni wetu.
Unalalamika hapa.Toa Malaya hiyo Vuta demu mwingine.
 
Itakuwa anajiuliza kuwa wewe utamuoa au unamrusha rusha then baadae upige chini utafute goma lingine.

Kama unaweza kukaa nae miezi sita hapo ndani nyie mnawezana kabisa na mnaweza ishi pamoja.

Kaongee na wazee wako ukapose huyo binti uoe awe mkeo ili hata yeye awe na uhakika kuwa yupo kwenye himaya yake.

Hapo wewe ikatokea umepata demu mpya na akakuchanganya kihisia wadhani yeye atakwenda kukushitakia wapi na kwa nani na atakwenda jitambulishaje kuwa umemtelekeza na kumuacha na maisha magumu? Na wewe ndie mtu anakutegemea kwasasa. So act like it.

Nenda kampose mjenge maisha mtoto mbichi kabisa huyo toleo la 2005. Weka duka hapo hata duka la spare na saloon yeye asimamie uone kama huyo jamaa hajaanza kumtext akisema "Siku hizi umebadilika sana,sms zangu hujibu na simu hupokei kwa wakati".
 
Kupenda sio kubaya ila muwe na kiasi msipende mje kuteseka,wenye upendo wa dhati wapo
 
Mnaishi kwa misingi gani? Ndoa au uhini tu? Kama unania nae anza kumjengankisaikolojia mpeleke kwa ndugu au wazazi fanya mpango uwasiliane na wazazi wake au ndugu zake,mbadilishie line ya sim kama acaut ya fb ifunge mfungulie mpua laini sajiki upya, kuna muda watoto wadogo wanakua bado hawajajua maana ya comentment ya ndoa, wanaona kama ni utoto watu wengi tumenza hivyohivyo hadi tukafunga ndoa miezi 9 ni michache sana , lakini umefika muda wakushirikisha watu wazima tafuta mtu mwenye busara ampigie huyo mwalimu au wewe kama unaweza mpigie hiyo jamaa uweke loud unchane, usifikiri kama utapata binti mzuri tena Mungu akikupa jua amekupa tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…