Yupo wapi Abdul wa Maisha Plus?

mujimali

Senior Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
190
Reaction score
116
Habari zenu wana JF. Naomba kuuliza yupo wapi yule mshindi wa maisha plus season 1, aliejulikana zaidi kwa jina lake la kwanza yaan ABDUL. Kwa yeyote anaejua, naomba atujuze alipo huyu jamaa.

Asanteni.
 
nami ningependa kujua kwa kweli!
 
yupo kwao zenji anaendelea na ishu zake za kutembeza watalii(tour guider)...hupatikana sana maeneo ya mji mkongwe na vipensi vyake na begi kubwa mgongoni kama mpanda milima!
 
yupo kwao zenji anaendelea na ishu zake za kutembeza watalii(tour guider)...hupatikana sana maeneo ya mji mkongwe na vipensi vyake na begi kubwa mgongoni kama mpanda milima!

Well, maskan yaje ni ipi..... Inaitwaje itakua rais kumpata...
 
hahaha Mzee wa kusafishana Nyota,kitambo kweli aise
 
yule jamaa dah, hv alipewa sh ngap za ushindi vile, mi nshasahau afu kibaya zaid kale kamchezo kajamfanya mshindi hata mmoja akawa superstar or just a star, cjui kwa nin
 
yule jamaa dah, hv alipewa sh ngap za ushindi vile, mi nshasahau afu kibaya zaid kale kamchezo kajamfanya mshindi hata mmoja akawa superstar or just a star, cjui kwa nin
ushindi sio lazima uwe superstar au kujulikana kwneye magazeti/mitandao kila siku
 
yule jamaa dah, hv alipewa sh ngap za ushindi vile, mi nshasahau afu kibaya zaid kale kamchezo kajamfanya mshindi hata mmoja akawa superstar or just a star, cjui kwa nin
Huwezi kutoboa kwenye tukio la kimsimu halafu hilo hilo likakufanya uwe super star! Na ndio maana, wanaotoboa kwenye matukio ya msimu na wakawa ma-superstar ni wale ambao hatimae waliingia kwenye angle za kudumu kv akina Wema Sepetu kutoka Miss Tanzania (tukio la msimu) kwenda kwenye filamu (angle za kudumu)! Hata Richard Bezuidenhout ameshapotea na mtoko wake wa tukio la msimu la Big Brother!
 
Maisha Plus season 1 ilikua great Abdul hahaha....wale jamaa top 5 wote walikua wajanja!
 
Na kule mwana alikuwa anaitwa charles, sijui nae kapotelea wapi...season 1 ilikuwa ni noma
 
ile season one kulikuwa na txt zinapita chini kwenye screen,nakumbuka nilipata rafiki ambaye tulidumu kama miaka 3 hivi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…